Tanzia: Mkurugenzi wa WEPMO ndugu Kasisi amefariki dunia

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
kwa masikitiko makubwa napenda kuwa habarisha kuwa Mkurugenzi wa WEPMO ndugu Kasisi amefariki dunia
 
WEPMO ndio nini? usi assume kuwa kila mtu anajua

Poleni wafiwa wote Mungu awape faraja
 
Mkuu tunaomba utoe habari kamili ili watu tujue vizuri ,humu kuna watu wengi wa kada tofauti
 
Imani Kasisi, Executive Director, Water and Environmental Sanitation Projects Maintenance Organization (WEPMO)

From: Imani Kasisi <kasis.. yahoo.com>
Subject: [wanabidii] MUHIMU: MATUMIZI YA BARABARA YANAYOSABABISHA FOLENI DSM.YANAWEZA KUEPUKWA?
To: wana.. GOOGLEgroups.com
Date: Monday, July 11, 2011, 11:25 PM

Mawazo ya wachangiaji ni mazuri kwa kweli,,,

Wanabidii naomba kama inawezekana tuanzishe mfuko wa kuchangia WANABIDII DAR ROADS FUND au DAR BILA FOLENI INAWEZEKANA ili kusuport kujengwa kwa madaraja ( fly over) pale ubungo mataa, magomeni, tazara, halafu kuwe na Ring road kuanzia kunduchi kupitia kimara gongo la mboto mbagala hadi kigamboni,,,,pia tupige kampeni za halmashauri kusuport rehabilitation ya barabara za mitaani na kuzuia ujenzi holela wa nyumba wanaoziba barabara... Najua kila mwaka wanasema wametenga pesa za fly over lakini hakuna kinachofanyika kwa hili zitaonekana wakiona wananchi wanaamua kuchangia,,,mbona harusi tunaweza kuchangia hili la barabara pia tunaweza,,,,tutafanya harambe kubwa kubwa hapa Dar INAWEZEKANA,,,,na pia harambe hii itahamia Arusha, Mbeya na Mwanza ambako tatizo linakuwa taratibu kama hapa Dar,,

"umoja wa wanabidii ni nguvu" tuweke pembeni itikadi za siasa na malumbano tuwaonyeshe watu uanabidii wetu tuanze kampeni na kujitolea "DAR BILA FOLENI INAWEZEKANA",,,

tunaweza kupendekeza wajumbe kumi wenye ushawishi na waadirifu wa kuratibu mfuko wetu na kushirikisha vyombo vya habari, mitandao ya simu ili watu watume msg na kuchangia, wananchi wajue kinachoendelea kwa kampeni,,wafanyabiashara maarufu,,,mimi nina imani watu watashiriki kwa wingi tu maana kero ya foleni ni kubwa na inamgusa kila mtu jamani,,,,

huu ni ushauri wangu na mawazo tu,,,maana foleni za dar zinakera sana,,,

Asante,
Imani Kasisi
Executive Director
Water and Environmental Projects Maintenance Org.(WEPMO)
P.O.Box 38340
Dar es salaam
Tanzania
Tel +255 22 2410738
Mobile +255 716 099959 or 0762 140319
Fax +255 22 2410299
Email: wepm.. yahoo.com
 
Last edited by a moderator:

Hii project iko under Ministry of Water au Private Sector?

RIP
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom