Tanzia: Mke mdogo wa Mzee Yusuph afariki dunia wakati akijifungua

Asante Mungu kwa mwenzangu kujifungua salama. Haimaanishi kwamna mimi ni wa thamani sana ila ni kwa kudra zako pekee

Tunakushukuru pia kwa ajili ya huyu mwenzetu uliyemtwaa kwani ni wewe pekee ujuae siku yetu ya mwisho. Watie nguvu familia zao ili wao kama binadamu waupokee msiba huu kwa wepesi

Amen!
 
Back
Top Bottom