OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,062
- 114,535
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu Msaidizi(AAG)-Kanda ya Kati Mzee Mhina Kombo amefariki mchana huu Dodoma.Mzee huyu kipenzi cha wakaguzi wa ofisi ya CAG amekuwa akisumbuliwa na sukari.Mpaka anazidiwa na hatimaye kurejea Dodoma kwa ajili ya uangalizi,alikuwa akiendelea na majukumu yake ya kikazi huko Singida.RIP Mzee Kombo