Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Mmmh!
...........
 
Una uhakika na ulichopost?...una muhukumu lulu ww kama nan?...lulu ni binadamu kama sisi unategemea atakua katika hali gan wote tukimuandama?..ni vyema kuacha ushabiki usio na maana

Mleteni kwangu usiku wa manane, akiwa na kanga moko bila nguo za ndani, mniache naye makaburini peke yetu na ndoo ya maji nimuoshe nyota!
 
Itakuwa sawa na kuzuia mafuriko kwa mikono, habari imeshasambaa kwny mitandao yote ya kijamii, huko Bingo Movie sijui kuna nini siku hizi...kunedorora sana na hata sioni watu wakiangalia movie za Kibongo km enzi za Kanumba:confused:

Ile sheria serikali iongeze majengo ya magereza mengii
 
Mungu akipenda kesho mchana, nitaanza safari ya kwenda Dar. Naenda kumzika rafiki yangu kipenzi, japo mazishi hayajapangwa kama ni dar au Mbeya, inategemea na maamuzi ya vikao vya wanafamilia. Maana marehemu ni mwenyeji wa Mbeya ila home kwake mshikaji ni dar, amejenga hapo dar Kinyerezi na Sehemu flan mbele ya kiwanda cha wazo, unafuata njia ya kuelekea Madale. R.I.P my dear friend Samson Lusekero Mwandenga (Seki).
 
Alipofariki yule rubi wa chichiemu niliwafafanulia kule kwetu ukiona bnt wanaume wanakwisha ujue anakitu ambacho kinaota juu yashimo la kujisaidia kinyama kidogo a.k.a Kimenengu,hiki kinautaratibu wa kukatwa kwa utaratibu wa kimila,kuna dawa ya kienyeji unafanyanyiwa alafu unakatwa unaondoa mikosi yote,sasa wale walio karibu na Lulu wakiona ujumbe huu anitafute kupitia jf gharsma yake ndogo akzarau wanaume watakwisha,

haahaha hili nalo biti
kwa hiyo lulu ana kinyama?
 
Namshauri Lulu akaoge maji ya betri yale makali ili aondoe gundu linalo muandama
 
Tunuombee asije kuwa malaika wa kifo ataiona dunia chungu, namhurumia mno kama kweli alikuwa na mahusiano na huyo marehemu RIP
 
Back
Top Bottom