Tanzia: Member mwenzetu Marejesho amefiwa na mdogo wake wa Kiume

Pole sana marejesho na wanafamilia wote, tunawaombea kwa Mungu awatie nguvu katikakipindi hiki kigumu. R.I.P GERALD, GOD LOVES YOU MORE., for you our family member marejesho belive this GOD MADE GERALD AN ANGEL.
 
Last edited by a moderator:
naomba uniwakilishe hapo mwenzangu kwenye msiba huo

pole shem kwa kuondokewa na shem wako

pole best wangu wa ukweee marejesho Mungu afanyike faraja kwenu na familia nzima
awatie nguvu katika kipindi hichi kigumu kwenu

Mungu awape wepesi katika kîpindi hichi kigumu! Na roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa Aman!

Pole sana marejesho
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Pole sana marejesho jamani. Mungu akufanyie wepesi ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wako. Mungu akupe faraja ya kweli itokayo juu. Pole sanaa
 
Last edited by a moderator:
Pole sana marejesho, hakuna nafsi ambayo haitauonja umauti!! Marehemu apumzike kwa amani, amina!
 
pole sana marejesho
Mungu mwenye rehema na neema akurejeshee imani na moyo wa uvumilivu, akukumbatie katika kipindi hiki kigumu..

dogo alazwe pema peponi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom