Tanzia: Mchekeshaji Boss Martha afariki dunia

Mambo ya zero grazing,hawa wkwenye tasnia ya bongo filamu,bongo fleva wako na michezo mingi ya kuzungukana, kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa wanamuziki wa bendi zetu sasa game limesauka
Na wanamuziki wa Band wamejifunza maana DRUM iliwakaangisha kinoma,Rukia Bruno na Aisha Madinda chaini yao ilikuwa kubwa sana.
 
I watch her clips so many times. she was my favourite female comedian in bongo. R.I.P Queen Martha.
 
Uti wa mgongo uliopelekea malaria.

Kuna ugunduzi mpya hapa.
Itakuwa ni malaria iliyoanzia kwenye uti wa mgongo possibly vipimo vilichelewa kugundua au mtaalamu husika hakugundua mapema, kingine tukipata vihoma tunakimbilia hospital ndogo zisizo eleweka mambo yakiwa mazito ndipo tuaenda hospital kubwa hii ni hatari tunakuwa tumeshachelewa
 
Back
Top Bottom