TANZIA: Mbunge wa Geita Mjini, Donald Max afariki Dunia

Apumzike kwa amani Mungu ailaze roho yake mahali pema pepon. Hvi tangu achaguliwe alishawahi kuhudhuria kikao chochote cha bunge? Sijawahi kumsikia bungeni wala nilikua simfahamu.
 
Hakika kupimwa afya kabla ya kuwania kuwawakilisha wananchi ni muhimu! Wabunge zaidi ya wanne wa chama kimoja kufa magonjwa ambayo mtu ukiyapata hupaswi kuwa muwakilishi wa wananchi lipo jambo!
 
Poleni wanamagamba wote, Nawaombeni kheri katika kipindi hiki kigumu.

Pole kwa wanafamilia na R.I.P Mh. MAX
 
Apumzike kwa aman MP Max,namkumbuka kwa mema yake alivyo fanya ukarabati mkubwa Geita sec

Tushawahi kumpigania huyu aingie bungen siku ile kura za maoni zimepigiwa shulen kwetu geseco mabina akashinda
 
Poleni sana familia, watani zangu wa CCM na wana Geita wote kwa ujumla, kila nafsi itaonja mauti.

Apumzike kwa amani milele.

Amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom