TANZIA: Mbunge wa Geita Mjini, Donald Max afariki Dunia

Nimesikia alikuwa amelazwa ICU kwa mwaka mzima, wakati huohuo jina lake linaonekana kwenye walioipigia kura ya NDIYO kupitisha KATIBA YA CHENGE! Alipigaje kula akiwa anapigania uhai wake ICU?!

RIP Don Max mbuge wa jimbo lenye Dhahabu lakini halina Maji ya Bomba!
 
Afu mbona kuna uzi nilisoma kwamba alilazwa Apollo hospital hapo Delhi india toka mwez wa tisa akisumbuliwa na cancer ya ubongo.........sasa hii ya muhimbili inamaana alirudi tz au?
 
Sijawahi sikia akichangia hoja. Anyway rest in peace hivyo hivyo na ukimya wako
 
Polen masela wa ambassidor na wale mabaunsa waliokuwa wakoingia nae club,polen wafanyakazi wa vyoo vya public pale geita maana n mradi aliowaachia wanageita,

polen wafanyakazi wa copcot maana alikuwa mkurugenzi wenu, pole za dhati zimfikie david kizito shemeji yake aliempeleka urusi kujifunza umakenika,ingawaje kwenye cv alionyesha ni mbobevu,pole ziwaendee wale wote waliosoma shule za kalangalala, mbugani, geita kwa msaada wa geti uliotoka kwa bwana max, pole zingine ziende hosp ya wilaya maana kuna wakati alikuwa akitoa chakula bure, pia pole kwa mkewe na mtoto mmoja,

mwisho kabisa pole kwa vijana, wauza kahawa hasa kijiwe cha Mzee shughuli kwani walinufaika sana na uwepo wake bungeni had I kugikia kupewa TV ya barazani,mwisho kale kabustan kanakoonekana geita ni mpango WA bwana Max karibu na jengo la ccm wilaya,R.I.P brother we shall miss u much
 
RIP, je warithi wake watapewa yale mafao ya ubunge? Tsh 230 Milioni

Nilsoma gazeti moja hata wiki haijapita mkewe wa ndoa wa Ki Russia amemfungulia yeye na aliyekuwa housegirl wao kesi ya adultery na akaomba mahakama impige marufuku hg kuendelea kuchukua ela Bunge kuuguza mgonjwa...hapo ndo nikajua jamaa yuko na hali mbaya...
Afu anayesimamia kesi kwa niaba ya wife ana jina kama la marehemu...probably waliona hg ni gold digger wakamtonya wifi wa Kirusi aje Tz faster

Inasemekana alifunga ndoa na hg; lakini ndoa ni batili sababu hakum divorce MRussia na wana ndoa ya mke na mume mmoja
 
Mungu akulaze pema kaka Max. . . . . . . Hukuwa na makuu wala majigambo! !!

Mkuu uko sahihi sana. Mie nilikuwa simfahamu. Siku moja alinikuta Villa Park Bar nimekaa counter. Akanijoin na kuniagizia kinywaji. Tukawa tunapiga michapo tu kama mtu wa kawaida na alikuwa amezoeana na Barman . Nikamwagizia naye kinywaji akachukua. Baadaye akatoa ofa kwa watu wengine, na ndo katika mazungumzo akajitambulisha ! Alikuwa huwezi mtofautisha na general public na alikuwa anaongea kwa uchungu sana kuhusu ufisadi. R.I.P brother!!!
 
Mkuu uko sahihi sana. Mie nilikuwa simfahamu. Siku moja alinikuta Villa Park Bar nimekaa counter. Akanijoin na kuniagizia kinywaji. Tukawa tunapiga michapo tu kama mtu wa kawaida na alikuwa amezoeana na Barman . Nikamwagizia naye kinywaji akachukua. Baadaye akatoa ofa kwa watu wengine, na ndo katika mazungumzo akajitambulisha ! Alikuwa huwezi mtofautisha na general public na alikuwa anaongea kwa uchungu sana kuhusu ufisadi. R.I.P brother!!![/QUOTE
Mzee wa ambassador kazi ipo
 
Nilsoma gazeti moja hata wiki haijapita mkewe wa ndoa wa Ki Russia amemfungulia yeye na aliyekuwa housegirl wao kesi ya adultery na akaomba mahakama impige marufuku hg kuendelea kuchukua ela Bunge kuuguza mgonjwa...hapo ndo nikajua jamaa yuko na hali mbaya...
Afu anayesimamia kesi kwa niaba ya wife ana jina kama la marehemu...probably waliona hg ni gold digger wakamtonya wifi wa Kirusi aje Tz faster

Inasemekana alifunga ndoa na hg; lakini ndoa ni batili sababu hakum divorce MRussia na wana ndoa ya mke na mume mmoja

Very true
 
Aisee kuna wabunge hata sijawahi kuwasikia mbunge tokea lini huyu?...kama huyu mheshimiwa cjui kama huwa wanakaa Bungen au huwa wapo wapi all in all rest in peace
 
Back
Top Bottom