Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni msibani?
Labda Waganda kwao msiba wana uchukulia tofauti na sisi
Hjui alishaingia mkataba kabla ata ya kifo hcho so ni lazma afnye show
Wabongo ni wanafiki mnooo...!!!Mnamwonea zari huruma?
Zari alipost snap akiwa hospital kwamba "ni vigumu kupata usingizi ukijua kwamba muda wowote mashine itazima" maana yake mama yake alikuwa kwenye life support na walishaambiwa kwamba hawezi kupona...
Sasa kama ni kama vile tayari msiba ulishamfika lakini akapata nguvu kukata mauno na kurecodi na kupost inawezekanaje kwamba ameumia kifo cha mama yake??
Labla tunatofautiana mila na Waganda.
Ila Mimi siwezi kumpa pole hata kidogo ila nasema MUNGU AMPE PUMZIKO LA MILELE MAMA ..
Ninasikia Ivan alimjengea nyumba mama Zari
Hapa ni msibani?
Labda Waganda kwao msiba wana uchukulia tofauti na sisi
Ndo namuona kumbe naye kaendaBibi T wa Madale ndani ya msiba
Maskin akifiwa alia na mengiTajiri akifiwa ni sherehe,
sie tukifiwa unalia unajaa machozi, kamasi na mate kila mahali
Yah anamzika bibi Tifa wa UgandaNdo namuona kumbe naye kaenda
marejesho ya vikoba hayajawai muacha mfiwa na kichekoMaskin akifiwa alia na mengi
Cc miss natafuta
marejesho ya vikoba hayajawai muacha mfiwa na kicheko
Yah anamzika bibi Tifa wa Uganda
The battle for Ivan Semwanga's property is not yet over. Last week one of Ivan's uncles Herbert Luyinda travelled by bus/land to South Africa to go and file/claim custody over Ivan Semwanga's estate. According to the leaked chat with one of Zari's family members, Luyinda swore over his dead body that Zari will not take over Ivan's estate. He would rather destroy the whole hereditary plan by revealing to the South African authority that Ivan Semwanga the deceased was not the rightful owner of the estate in dispute. According to South African records, the schools and property in South Africa belong to Ali Senyomo. In South African records, Ali Senyomo died and left no child. Authorities have no records of Ivan Semwanga ever owning a school or property there. Meaning if someone came up as a close relative to Ali Senyomo, just like Luyinda did, he can claim the entire estate. Now that there is no complainant yet, the property is still administered by the people who were in charge before the death of the owner(Senyomo). That's Zari and her team of staff. Should Luyinda suceed and raise that complaint to the authorities, it is going to raise a lot of controversy in the distribution of Ivan Semwanga's property.Maskin akifiwa alia na mengi
Cc miss natafuta