Tanzia: Mama Hannah Mudavadi hatunaye tena, Rais Uhuru Kenyatta ashiriki maziko yake

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Mwendazake huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 92 na kupumzishwa Kijiji cha Mululu kilichopo Kaunti ya Vihiga

Mke wa Waziri wa zamani nchini Kenya Moses Mudavadi

Mama Mzazi wa mwanasiasa maarufu sana nchini Kenya na Kiongozi wa Chama cha ANC Musalia Mudavadi na wenzake

Bwana ametoa
Bwana ametwaa
Jina lake lihimidiwe

hannah1.jpg
uhuru-mama-hannah-scaled-e1610182883752.jpg
 
92 amekula chumvi, apate pumzika la amani na mwanga wa milele umwangazie.
 
Fafanua mkuu kwa faida ya wote!

QUOTE="Taisho fuyaki, post: 37789545, member: 474726"]
Naangalia KBC kingereza Cha huyu mdada ni kikali sana Kama Cha mkululu wa hapa
[/QUOTE]
 
Apumzike kwa amani Hannah
Wafiwa wana kila sababu ya kusherekea uhai wake amefikisha 70 ya ahadi na 22 ya bonus
 
Back
Top Bottom