TANZIA: Leticia Nyerere afariki dunia

nadhani hata angeenda kuwa mwanachama wa Democratic ama Republican; Yakwamba RETISIA Aliwahi kuwa mbunge viti maalumu chaedema ni jambo la kweli ambalo haliji kuondolewa. shame on you!
Kwa kuwa aliisha jiondoa CHADEMA tangu july 2015, hivyo kutumia neno aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA sio mahala pake ni vema mkaandika aliyekuwa mwanachama wa CCM na msiihusishe CHADEMA kwani hadi mauti yanamkuta huyu alikuwa CCM.

R.I.p Mbunge viti Maalum Chadema pole kamanda Mbowe na wanachama wote wa Chadema.
Wakati mauti yanamkuta hakua mbunge wa viti maalum wala mwanachadema.
Kabla ya kifo chake ungemwita Leticia Mwanachadema makamanda wangekuua kwa matusi.
RIP Leticia.
 
Rip letty. Ila kwa wanaotumia eti wa chadema komeni kabisa. Mpeni marehemu cheo chake cha lumumba. Inatosha. Na apumzike kwa amani amina
 
Back
Top Bottom