Tanzia: Ladislaus Lwambuka wa UDSM amefariki

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,612
21,346
Jamani Ladislaus Lwambuka mkali wa SD 105 pale CoET Udsm kafariki dunia.

Taarifa tutaendelea kupatana hapa hapa jukwaani
 
RIP my lecturer dr. Lwambuka tutakukumbuka daima kwa misingi mizuri ya solid mechanics uliyotujengea katika carrier yetu first year
 
Back
Top Bottom