Tanzia: Kijana Hamad Awadh (28) aliyekuwa akiishi kwa kupumulia mashine afariki dunia

Moyo unahamaga?

Anyway RIP kaka

1571377797769.png
 
Apumzike kwa amani!

Ameimaliza safari.. alikuwa anatia huruma Sana.
Kuna siku wamemuonyesha ITV Kama sio TBC chozi lilinidondoka.

Mie chozi limetiririka hasa baada ya kusoma hii habari.

Nikakumbuka asubuhi nimekurupuka tu hata sijamshukuru Mungu kwa uzima na afya niliyojaliwa siku hii ya leo.
Najiuliza, mie na huyu jamaa tunatofauti gani? Unagundua ni Neema tu.
Imebidi nifanye maombi ya kumshukuru Mungu kwa uzima nilionao na pia kuwaombea wagonjwa waliopo hospitali mbalimbali wapate uponyaji.

Niwape pole wafiwa nakuwatakia siku njema wanachama wote wa JF.
 
Tanesco wala sio wa kulaumiwa
Wakulaumiwa jamaa waliomtapeli pikipiki mpk akapata mshtuko uliompelekea kulazwa
Maana tanesco walihaidi kumpa mil 10 za safari ya kwenda india
Na pia kumfungia luku yake
 
Back
Top Bottom