Tanzia: Katibu wa CCM wilaya ya Ilala afariki kwa ajali ya gari Morogoro

Inavyoonekana chuki kati ya Watu NA Watu zitokanazo NA tofauti ya itikadi za vyama vya siasa huko nyumbani Tanzania ni kubwa sana, kiasi kufikia hatua ya watu kuombeana vifo???
Kama wanapiga watu risasi na wanashangilia wanaua watu kwenye viroba wanashangilia na kuwaita wahamiaji haramu tufanyeje mwenzako wa Chama fulani akitwaliwa unashangilia unasubiri zamu yako
 
Back
Top Bottom