TANZIA: Katibu wa CCM Ilala afariki Dunia

RIP kaka Tito, Songea inakulilia, Dar Inakulilia na Tanzania inakulilia. Umeondoka bado kijana huku Taifa likiwa na mategemeo makubwa kwako. Nimeumizwa sana na taarifa za kifo chako, kwani si muda mwezi uliopita tulikuwa wote Dodoma na kunishauri vingi. Bado nakumbuka siku zile tulipokuwa tukicheza kikapu pale Zimanimoto, siku zile ulipokuwa ukirudi likizo na kutupa michapo ya maisha chuoni. Hakika ni pigo kwa kila mtu. Poleni sana Mzee Chale, Willy, Mellania na wote hapo nyumbani.
 
Back
Top Bottom