KUKU-DUME
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 474
- 196
Habar jf yule kada maarufu kwa kusingizia kesi watu pindi wanapooneka wapinzan na alitumika na lukuvi kuzima upinzan kwa kuwasingizia majambazi na kufungwa ndani afariki dunia..kwa wale wanao ishi au waliowahi kuish Isman walishachoshwa na huyu mtu.aliacha majukumu yake na kujihusisha na siasa za vitisho hasa kwa wapinzan.
My take.....hii habar njema kwa wapinAn na walio hujumiwa na huyu mtu.........alazwe mahala pema tutakukumbuka kwaunyama ulio fanywa na huyu mtu.
My take.....hii habar njema kwa wapinAn na walio hujumiwa na huyu mtu.........alazwe mahala pema tutakukumbuka kwaunyama ulio fanywa na huyu mtu.