Tanzia: Katibu tarafa na kada wa CCM, tarafa ya Ismani ndg Makendi afariki dunia

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
474
196
Habar jf yule kada maarufu kwa kusingizia kesi watu pindi wanapooneka wapinzan na alitumika na lukuvi kuzima upinzan kwa kuwasingizia majambazi na kufungwa ndani afariki dunia..kwa wale wanao ishi au waliowahi kuish Isman walishachoshwa na huyu mtu.aliacha majukumu yake na kujihusisha na siasa za vitisho hasa kwa wapinzan.

My take.....hii habar njema kwa wapinAn na walio hujumiwa na huyu mtu.........alazwe mahala pema tutakukumbuka kwaunyama ulio fanywa na huyu mtu.
 
Mungu amlaze kwenye moto wenye joto linaomstahili maana watu wa namna hiyo wanaendaga motoni tu.
 
Habar jf yule kada maarufu kwa kusingizia kesi watu pindi wanapooneka wapinzan na alitumika na lukuvi kuzima upinzan kwa kuwasingizia majambazi na kufungwa ndani afariki dunia..kwa wale wanao ishi au waliowahi kuish Isman walishachoshwa na huyu mtu.aliacha majukumu yake na kujihusisha na siasa za vitisho hasa kwa wapinzan.

My take.....hii habar njema kwa wapinAn na walio hujumiwa na huyu mtu.........alazwe mahala pema tutakukumbuka kwaunyama ulio fanywa na huyu mtu.

NDUGU KUKU - DUME wako WENGI SANA HATA HUMU JF WANAAMINI MAGAMBA NDIYO MUNGU WAO ! WANATESA NA KUNYANYASA WENGINE , WAKIAMINI WATAISHI MILELE .
 
Yafe tu, tumeshayachoka, yafe tuu, pamoja na mavibaraka yao nayo mh. Ziraili usiyaache jembe letu.
 
Habar jf yule kada maarufu kwa kusingizia kesi watu pindi wanapooneka wapinzan na alitumika na lukuvi kuzima upinzan kwa kuwasingizia majambazi na kufungwa ndani afariki dunia..kwa wale wanao ishi au waliowahi kuish Isman walishachoshwa na huyu mtu.aliacha majukumu yake na kujihusisha na siasa za vitisho hasa kwa wapinzan.

My take.....hii habar njema kwa wapinAn na walio hujumiwa na huyu mtu.........alazwe mahala pema tutakukumbuka kwaunyama ulio fanywa na huyu mtu.

Mungu huyu wa Yakobo na Isaka hajaandaa makazi mema kwa mashetani kama huyo, huyo makazi yake ni Jehenamu. Na afe kwa mara ya pili huko alipo.
 
Du! Ushabiki wa siasa hata kwenye misiba tunapoelekea siyo kuzuri.
 
Siasa isitupeleke huko!!! Nimesikitishwa sana na comments za wadau wa Bavicha hapo juu...

Poleni sana wafiwa.
 
Du! Ushabiki wa siasa hata kwenye misiba tunapoelekea siyo kuzuri.

mijizi na mishetani yote ya ccm ukiwamo wewe mfe tu. Wewe unadhni kuwa ni siasa, maisha na roho za watu mnazotesa ndo ziwaombee mema? Mwenyewe unastarehe kwa mali mnazowahujumu watz. Shetani awachukue haraka.
 
Habar jf yule kada maarufu kwa kusingizia kesi watu pindi wanapooneka wapinzan na alitumika na lukuvi kuzima upinzan kwa kuwasingizia majambazi na kufungwa ndani afariki dunia..kwa wale wanao ishi au waliowahi kuish Isman walishachoshwa na huyu mtu.aliacha majukumu yake na kujihusisha na siasa za vitisho hasa kwa wapinzan.

My take.....hii habar njema kwa wapinAn na walio hujumiwa na huyu mtu.........alazwe mahala pema tutakukumbuka kwaunyama ulio fanywa na huyu mtu.

Wa hivi mwache afe tu tena ingekuwa inawezekana afe hata mara sabini kwani amewatesa watu na familia zao wakati hawana hatia
 
mijizi na mishetani yote ya ccm ukiwamo wewe mfe tu. Wewe unadhni kuwa ni siasa, maisha na roho za watu mnazotesa ndo ziwaombee mema? Mwenyewe unastarehe kwa mali mnazowahujumu watz. Shetani awachukue haraka.
Wewe utaishi milele kwenye hii duniania mimi hata nikifa wewe utapata faida gani vyama vya siasa vimetufanya tupoteze udugu wetu.
 
R.I.P kada.. Kama uliomba msamaha kwa uliyoyafanya itakua vizuri.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom