TANZIA: John Guninita afariki dunia leo alfajiri

Innalillahi wainallihahy rajuuin,

ama kwa hakika, mwenyezimungu ampumzishe kwa aman.
 
sawa mie ndio kinda la leo asubuhi, sio wote ni wanasiasa humu, wengine kwetu siasa ni kama kituo cha polisi, nauliza tena ndio nani?
Jukwaa la siasa hili umekuja kufanya nini kama kwako ni kituo cha polisi
 
Rip ila ulifanya kazi yako kwa kuhamia Chadema ulipo maliza kilicho kupeleka ukarudi
Kidumu chama
 
Nakushukuru mkuu MSELEWA kwa ufafanuzi wako hapo juu,ila watanzania wenzangu tujitahidi mno how to comments mtu anapokuwa amefariki,elewa aliyefariki ni binadamu mwenzetu nasi tupo njia hiyo hiyo,na aliyefariki hana uwezo wa kujitetea kwa tuhuma tunazomtuhumu,alitumia haki yake kikatiba kwenda kwenye chama chochote cha kisiasa alichokipenda kwa wakati ule,na hakufanya kosa lolote .sisi ndio nani wenye haki ya kuhukumu???
Petro E. Mselewa
 
Back
Top Bottom