MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,548
- 24,159
RIP Coach Joel Bendera.
Ukishajua utaenda kumfufua?Alikuwa anaumwa nini?
Pumzika kwa Amani ndugu yetu Joel Nkaya Bendera . Taifa lita kukumbuka kama mwana michezo bora katika nchi yetu kwa kuifundisha timu yetu ya Taifa hadi tukasiriki kwenye fainali za mataifa uhuru barani Afrika kama yaluvyo julilikana kipndi hicho . R.I P.
Nimfufue kwani alitenda kitu gani kizuri kwako?Ukishajua utaenda kumfufua?
RIP RC mstaafu
Ni miezi miwili tu wala sio siku nyingiMkuu wa mkoa wa siku mingi kidogo. R.I.P
Hongera sana tuna tamani na wengine tuishi kama wewe mkuu.R.I.P. Joel my class mate pale Vuga Bazo Middle School 1963 -1965.
Labda alikuwa alikuwa na maana ya Hospice!Siyo kweli, ICU ni Very intensive care Unit.
Inategemea case na case, mgonjwa yeyote anayetoka kwenye oparesheni kubwa kabla ya kupelekwa wodini ni lazima akae ICU angalau kwa masaa 48 kabla ya kupelekwa wodini Cube one.
Yani siku hizi naongea broken mpaka najishangaa.. Sijui nini kimenipata... Hapo niliona nimepatia kabisa"you are vulnerability"???!!! hadi wewe?!
Ndo mipango ya Mungu iyoRip,mbona gafla hvyo.
Mkuu unasemaaaaa...naomba urudie tena tafadhali!Pumzika kwa amani jembe,very sad hasa ukizingatia ilikuwa bado masaa 72 pekee kupokea wageni kwny chama