Tanzia: JK kafiwa na mtoto wa dada yake

Status
Not open for further replies.

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Nimepita magomeni mapipa nyuma ya msikiti wa mchangani, rais wa Tanzania yu-katika hali ya majonzi ya kufiwa na mtoto wa dada yake, sifahamu marehemu aliitwa nani.

Mwenye taarifa za kina atujuze.

POLE RAIS WETU, MUNGU AKUPE MOYO WA SUBIRA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MSIBA.

RIP MAREHEM
 
Usiku huu wa manane unatoka wapi Magomeni kuchungulia nyumba za watu? Hata hivyo cha ajabu nini ,Kwani hujui mauti iko kwa kila kiumbe?Hata yeye mwenyewe kuvuta box si ajabu. KALALE ZAKO!
 
kumbe jk sista ake kaolewa migo..ndo maana migo migo hakuna bomoa bomoa
 
HADJ DROGBA, asante kwa taarifa hii.

Kusema ukweli, sisi Watanzania, tunaijua historia fupi sana za viongozi wetu, hatuna utamaduni wa kuandika biographies, wala hatuna biographers, kiasi kwamba historia hii ndio kwanza leo naisikia.

Kumbe JK(M) huyu naye aliishi Magomeni kama Mlm. JKN mwenyewe !.

Natoa pole kwa First Family.

RIP Bi Mkubwa!.
 
usiku huu wa manane unatoka wapi magomeni kuchungulia nyumba za watu? Hata hivyo cha ajabu nini ,kwani hujui mauti iko kwa kila kiumbe?hata yeye mwenyewe kuvuta box si ajabu. Kalale zako!
hahahah alikuwa kazini! Si wajua kuna zile kaz za usiku zile huhitaj chungulia unaona tz nzima!(joke) rip dada wa mr president
 
Is it worth to discuss unverified stories?
vitu vingine havijadiliwi asilani. sehemu ya bandiko inasema mwenye taarifa za kina atujuze, sijui unataka kujadili nini. kama umeangalia post za wahabarishaji wengine utayaona marekebisho, ilikuwa sahihi kuwa ,haijathibitishwa, tumeambiwa ni mtoto wa dadake jk. rip mpwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom