TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Mbona taarifa za Mods wa jamii forum na ITV zinapishana? Mods wanasema eneo halifikiki. itv wanasema deo mzima. vipi abiria wengine?tuamini habari ipi?
 
Sasa haya maharage ya Kilimanjaro itv nini kimewapa mamlaka ya kuconfirm?
 
Sasa wamejuaje kuwa yuko salama kama hilo eneo kuna mto na wameshindwa kuvuka usiku huu?
 
These people aint serious.. Kweli kama mtu watu wapo hai kweli muwaache hadi kesho asubuhi?seriously? Ooh no.
 
Eeh, Mbona uchaguzi wa mwaka huu unataka kuwa wa majanga? Wagombea wanne wa ubunge wameshafariki. Mungu liepushie majanga taifa hili

Mkuu mpaka sasa ni watano,yaani
Mtoi-Lushoto,
Kigoda-Handeni mjini,
Kombani-Ulanga Mash,
Mallah-Arusha Mjini na Dr Makaidi-Masasi.

Kwenye urais napo almanusura iwapo Mch.Mtikila angepitishwa na NEC.
Hatari aise 2015.
 
Update ajari ya Chopa.
 

Attachments

  • 1444942791355.jpg
    1444942791355.jpg
    29.5 KB · Views: 780
afadhali kasalimika.huyu jamaa ni UKAWA kabisa sema baasi tu enzi hizo hakukuwa na UKAWA.
 
Ila sisi watanzania ni wanafiki sana.Kila siku humu Lowasa amaetukanwa sana na kuombewa kifo ,watu wanashabikia.Kusikia mbunge wa CCM mwenye jina kaanguka kwa helikopta hawataki hata kusikia kama kafa.Kifo haombewi mtu ni kazi ya Mungu.Mungu anawatumia ujumbe.Deo kasalimika ,mwambieni nae amnange Lowasa,ameiona namna kifo kinavyokuja na kutisha.Acheni hoja za kitoto,uzeni sera za chama chenu.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom