TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Untitled.png
 
Ni ngumu kuamini ila mapenzi yako yatimie Mungu wetu, lakini kibinadamu tunakuona Mungu kama umetudhulumu.
Alikuwa bado kijana potential kwa mustakabali wa nchi yetu.
Wafariji wafiwa, e Mungu wetu.
 
Kwaheri Deo! Mmoja wa wazalendo wachache walio bakia CCM, nilipenda sana michango yako Bungeni,hakika "Wema hawana maisha".... Nukuu ya wimbo wa Balisidya .
 
Nimesikitika sana, kweli maisha ya mwanadamu ni mafupi sana...
Mungu awafariji waliopatwa na msiba huu...
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.

R I P JEMBE
 
Back
Top Bottom