TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Kufuatia matukio haya ya vifo, sina imani tena na ninaingiwa na hofu kwa usalama wa mgombea wangu wa urais na wabunge na madiwani wanaotumia chopa ili watu wapumbavu wasijekuwa wanajiandaa na ujinga maana ushindani umewashinda. Kuna kipindi yaliandikwa sana hapa jf kuhusu wiki hizi za mwisho za kampeni. Nimeingiwa hofu kabisa. Natamani nimpigie simu mgombea wangu maana moyo umekataa kabisa kabisa na hofu ni kubwa.

Sambamba na hili naomba kuulizia kama kuna taarifa zozote kuhusu general nimemkubuka sana kwa kweli
 
Hiii serikali ni ya kis......geeeeeeeee......tangu jana watu wasife.??? Timu za uokoz zinakaz gn....hii nchi kweli imewashinda ccm...kazi kuonyesha mavyombo yenu ya kivita huku dharula hamziwezi...R.I.P FILIKUNJOMBE saaad mara mwisho nilikuona mwezi august kanisani ukisimamia mtoto kipaimara Mungu akulaze pema peponi ..jirani...umemuacha mkeo sara na watoto bado wadogo jamanii

Kwenda kuokoa tu tumeshindwa alafu tunawacheka wakenya na sharba ya Westgate na All Shabab.. Tz ni kichwa cha mwendawazimu, hakuna tunachoweza chini ya hawa fisiemu
 
8:mgombea udiwani kwa tiket ya ccm kata ya makuyu wilayani mvomero kafariki dunia ucku wa kuamkia Leo Anaitwa Mnyingi
 
RIP Deo, machozi yamenitoka mimi, eeh Mungu kwanini haya yanatokea.... uuwiiii! Mungu tunaomba utusamehe pale tulipoenda kinyume na mapenzi yako, tusamehe baba, tusamehe
 
Kwa taarifa nilizopata sahivi ni kuwa filikunjombe na baba yake jerry silaa ambaye ni william wamefariki
 
Mh! Inawezakana ISRAEL ameamka tayari yuko shambani anavuna pande hizi! Nashauri kila mmoja wetu ajiandae!
 
RIP Filikunjombe! Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina Lake lihimidiwe!
 
Back
Top Bottom