TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Alikuwa nakwenda kufanya nini na chopa jimboni kwake si alisema kapita bila kupingwa?sasa anakwenda watoa ushamba watu wake kuona chopa?
 
Tanzania kuna nini? Barabarani ajali, majini ajali, angani ajali, relini matreni ya mizigo yanadondoka....hata ungo nazo zinadondoka!

Sasa ule utafiti ulionesha Tanzania ni nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la sahara kuamini ktk mambo ya uchawi ninaanza kuona kaukweli kake kwa mbali.

Let us pray for our people, our leaders regardless of their political party, religion and tribe
 
Naomba utulivu.1)ajali ya helkopta imethibitishwa 2)kuwaka hakujathibitishwa 3)ndugu yangu Deo alikuwamo 4)hakuna uthibitisho wa madhara.

Tweet ya Zitto
 
Last edited by a moderator:
Poleni kwa ajali. Taarifa nilizonazo sasa hivi ni kwamba, waliokuwemo kwenye chopa wako salama. Tumshukuru Mungu!.

Tweet ya Kingwagalla.
 
Naomba utulivu.1)ajali ya helkopta imethibitishwa 2)kuwaka hakujathibitishwa 3)ndugu yangu Deo alikuwamo 4)hakuna uthibitisho wa madhara.

Tweet ya Zitto

Achana na hao akina Zitto, Kigwa na Makamba hawajui lolote wanapotosha tu.. Wakusikiliza ni Nyalandu ambaye ndiye waziri husika wa utalii na hiyo Helikopta imedondokea mbugani.. Hao akina Zitto, Makamba ni wapotoshaji tu.. Fuatilia tweet za Nyalandu
 
Mafccm washazoea kuchakachua si ajabu ukakuta hiyo helicopter haifanyiwi service au limenunuliwa likiwa bovu uuu.
 
Achana na hao akina Zitto, Kigwa na Makamba hawajui lolote wanapotosha tu.. Wakusikiliza ni Nyalandu ambaye ndiye waziri husika wa utalii na hiyo Helikopta imedondokea mbugani.. Hao akina Zitto, Makamba ni wapotoshaji tu.. Fuatilia tweet za Nyalandu

Kweli kbsa zito, kigwa, January wote vi domodomo tu hawajui wanalosema
 
Makamba ndo kichekesho yeye anakimbilia kusema chopa zao zipo salama, walishazoea kukanusha sana

Huyo MAKAMBA ni mpuuzi sana.. Anasema eti Helikopta zote zinazotumiwa na Chama ziko salama.. Yaani hawa majamaa wameshazoea kukanusha na fix nyingi kwa kila jambo. Kwahiyo yeye alivyoona helikopta zao ziko salama basi akaamua kukaa kimya tu akijisemea (kama ni ukawa potelea mbali).. Angalau Nyalandu ndiye anahangaika na uokoaji sasahivi..
 
Achana na hao akina Zitto, Kigwa na Makamba hawajui lolote wanapotosha tu.. Wakusikiliza ni Nyalandu ambaye ndiye waziri husika wa utalii na hiyo Helikopta imedondokea mbugani.. Hao akina Zitto, Makamba ni wapotoshaji tu.. Fuatilia tweet za Nyalandu

ni kweli mkuu maana Makamba alikanusha na kusema Chopa zao zote Zipo Salama
 
Kweli kbsa zito, kigwa, January wote vi domodomo tu hawajui wanalosema

Washenzi sana, wanaleta siasa mpaka kwenye mambo ya msingi.. Yaani watu kama hao ambao wanauwezo wa kupata namba za RPC na Mkurugenzi mkuu wa Selous muda wowote ili watoe taharifa zenye ukweli wanakimbilia kutoa habari za kimihemko tu.. Kulikuwa na ugumu gani wa wao kufatilia zaidi?? Au walivyosikia sio helikopta ya Chama na Deo yuko salama wakapuuzia kama ni wengine iwe Ukawa au Mwananchi wa kawaida potelea mbali..
 
Kama hiyo chopa imelipuka kuna uhai tena hapo.

According to tweet za Waziri Nyalandu anasema hivyo.. Na bado hali zao hazijajulikana zikoje. Sasa aliyetoa taharifa kwamba Deo ni mzima sijui alipata wapi hiyo habari.. Tuendelee kusubiri huku tukiwaombea hawa ndugu
 
Washenzi sana, wanaleta siasa mpaka kwenye mambo ya msingi.. Yaani watu kama hao ambao wanauwezo wa kupata namba za RPC na Mkurugenzi mkuu wa Selous muda wowote ili watoe taharifa zenye ukweli wanakimbilia kutoa habari za kimihemko tu.. Kulikuwa na ugumu gani wa wao kufatilia zaidi?? Au walivyosikia sio helikopta ya Chama na Deo yuko salama wakapuuzia kama ni wengine iwe Ukawa au Mwananchi wa kawaida potelea mbali..
Huyu February ni ----- sana alafu anajifanya Yuko smart
 
Back
Top Bottom