TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

waziri kwenye twitter yake
 

Attachments

  • 1444943218625.jpg
    1444943218625.jpg
    33.7 KB · Views: 1,389
Kutoka akaunti ya twitter ya waziri wa Utalii Lazaro Nyalandu
 

Attachments

  • 1444945322570.jpg
    1444945322570.jpg
    35.8 KB · Views: 878
Hii nchi ya KIjinga sana... Wengine wanakimbilia kusema fulani mzima utafikiri alikuwapo mwenyewe, au ndiyo hatujali maisha ya waliokuwepo sababu tu si maarafu?? Alafu waziri mwenye mamlaka yeye anasema ndio vikosi vya uokoaji vimetumwa usiku huu, which means bado hali zao hazijajulikana, maana anasema helikopta imeripuka.. Hii nchi bure kabisa yani
 
Tweet ya NYARANDU inasema hivi "Lazaro Nyalandu ‏@LazaroNyalandu 9m9 minutes ago
RPC Morogoro na Mkuu Kanda ya Msolwa (Selous)wanashirikiana katika jitihada za kufika eneo la ajali haraka iwezekanavyo majira haya ya usiku"

Sasa hao wanaoconfirm kwamba hakuna madhara ni akina nani?? Na nani tumwamini?? Kama hakuna madhara kwanini wahangaike kupeleka watu wa uokoaji usiku huu porini kwenye wanyama wakali??
 
Huu ndo ukwe mpendwa. Tupo kwenye mfungo, kiukweli anayetumia hayo madude hatasalimika, tumechokaaaaa.

Nb, simaanishi hii ajali pia. Coz wachawi nao wapo kazini kutoa kafara ili karudisha mapigo, so tuombe sn jamani, waondoke wale wanao kusudia mabaya na si wasiokuwa na hatia

Mh!
Utafanya tuanze kumhisi vibaya Makaidi.
Hebu acha hizi maneno zako
 
Hii nchi ya KIjinga sana... Wengine wanakimbilia kusema fulani mzima utafikiri alikuwapo mwenyewe, au ndiyo hatujali maisha ya waliokuwepo sababu tu si maarafu?? Alafu waziri mwenye mamlaka yeye anasema ndio vikosi vya uokoaji vimetumwa usiku huu, which means bado hali zao hazijajulikana, maana anasema helikopta imeripuka.. Hii nchi bure kabisa yani
filikunjombe yupo safe mkuu..........
 
Hakuna uthibitisho wowote kwa kauli ya waziri wa Utalii...ndo kaagiza Maaskari wanaelekea huko

I feel so sorry kwa waliokuwepo kwenye hiyo HELIKOPTA.. Yaani ajari imetokea mida ya jioni mpaka sasa bado hawajaokolewa, huu ni uzembe. Na kwa mujibu wa WAZIRI anasema ilionekana wakati inaanguka na ikalipuka. Very SAD
 
kama ni kweli basi hizi chopa walizokodi magamba zitakuwa chakavu kupindukia... maana kuna nyingine inasemekana iligoma kupaaa huko simiyu ilikuwa imembeba mwigulu
 
filikunjombe yupo safe mkuu..........

Mkuu tatizo sio Filikunjombe pekee, hao wengine vipi?? Deo amethibitisha kwamba alikuwapo humo ndani?? Hali za wengine vipi?? Tunashukuru kusikia huyo mmoja yuko salama, lakini na hao wengine pia wafanye juu chini waokolewe usiku huu tusije poteza maisha ya watu kwa uzembe
 
filikunjombe yupo safe mkuu..........

Mkuu unaona WAZIRI NYALANDU anachokisema.. Hii kapost sasahivi Twitter, sasa tumwamini nani?? "Lazaro Nyalandu ‏@LazaroNyalandu 1m1 minute ago
Hatujui kitakachokuwa kimewapata wasafiri ndani ya helikopta iliyoanguka, akiwepo Mh, Filikunjombe. Tuungane kuwaombea kwa Mungu."

Daaah nahisi mpaka kuchanganyikiwa, eeeh MUNGU mshikilie Deo, ana kazi kubwa ya kuwafanyia wana LUDEWA
 
Makamba anasema Chopa zao zote zipo salama. Sasa hii Deo alikodi kama private ama?
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom