Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,658
- 1,229
Mkuu zama zimebadilika ,under Corona issue stay at home ,social distancing. Kuna nchi kuna kiongoza mkubwa alifariki nadhani ni wa dini,watu wakakusanyika kibao,sasa serikali imeamua wanakijiji wote wawe locked down ili wapimwe door to door kujua kama hawajaambukizwa Corona.Hivi kuna anayejua ratiba ya mazishi ya mama Rwakatare?