TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

Watu roho nzur ndyo wanakufa lkn wenye maroho mabaya wanapeta tu...sometime Mungu awe anaangalia hizi mambo,how come anawaacha akina mawe na Bash baby?
Usimkufuru MUNGU, huyo unaesema hana faida kwako, ni mzazi wa mtu na anaowanaompenda......utajiskiaje mtu ambaye wewe haumjui wala haujawahi kumuona anakuombea kifo au upatwe na janga baya na haukumkosea lolote personally?!
 
APEPE Mrs Kibonde.........
Poleni wote mlioguswa na msiba huu
 
Back
Top Bottom