Tanzia: Diwani wa Kata ya Makanya wilayani Same(ccm) Ndg. Ismail amefariki Dunia katika hospitali ya KCMC Mjini Moshi

Anaitwa Mh Ismail ambaye alikuwa diwani wa Chadema kata ya Makanya , ikumbukwe kwamba baada ya kushinda udiwani mwaka 2015 wazee wa Same walimuapisha yeye pamoja na madiwani wengine ili wasije wakasaliti wananchi , na kwamba wakisaliti kiapo hicho watapata MBURASI ( Wapare tusaidieni tafsiri ) , lakini yeye baadaye akasaliti na kuamua kuunga mkono juhudi

Kama kawaida akasimamishwa na ccm kugombea nafasi ile ile aliyoisaliti na kutangazwa mshindi kibabe , Wazee wa Same wakasema Hewala , wakaamua kumuachia Mungu , Taarifa zaidi zinadokeza kwamba Msimamizi wa uchaguzi wa marudio uliomtangaza Mh huyu kuwa mshindi alishafariki kitambo tu kwa ajali ya gari iliyoacha utata

Innalillah ya Innalillah Rajuun
next will be jiwe, wewe ngojea tu mungu mkuu
 
Tanzia

Diwani huyu Ndg. Ismail alikuwa diwani kupitia CHADEMA akaunga mkono juhudi na katika uchaguzi wa marudio alitangazwa mshindi.

Itakumbukwa pia kuwa msimamizi wa uchaguzi ule aliyemtangaza Ismail kuwa mshindi naye alifariki katika ajali ya kutatanisha pale mjini Same.
Ismail aliposhinda uchaguzi kupita CHADEMA 2015 alifanya kiapo cha wazee wa kimila wa kipare na kutakiwa aape kuwa akisaliti kiapo hicho atapata Mburasi ambayo itamtesa hadi afe. Mauti yamemkuta akiwa bado ni diwani.
Nitaendelea kuwapa updates kadiri nitakavyozipata.
Bwana Ametoa Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe
mkuu huyu ni setani ambae amechukua
 
Waache waendelee kuunga juhudi. Mungu si Juma. Atawaita kwenye mahakama yake kwa hukumu ya haki.
 
Back
Top Bottom