Tanzia: Diwani wa CCM - Daraja Mbili (Arusha) afariki

Kufa kufaana wengine wanakitolea macho kiti cha udiwani kilichoachwa wazi... chademaaaaaaaaa pepo pawaaaaaaaaaaaaaa
 
Natoa pole ya dhati kabisa kwa ndugu,jamaa,na marafiki wa familia,Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.Poleni sana.R.I.P
 
Diwani wa CCM, kata ya Daraja Mbili - Arusha Mjini amefariki. Mh Diwani Bashir Msangi, amefariki kwa ugonjwa wa presha.

RIP

R.I.P. Mheshimiwa Diwani Msangi, watu watamiss vituko vyake, wakati wa kampeni jamaa alikuwa anazungumza jukwaani huku akikata mauno.
Arusha kutakuwa na kata tano za uchaguzi, zote kwa chadema!
 
Back
Top Bottom