TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

impala

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
247
130
Aliewahi kuwa kamanda wa police mikoa ya Arusha na Dodoma, DCP mstaafu Rashidi Hemed amefariki nyumbani kwake Oysterbay asubuhi ya leo. Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kisutu baada ya swala ya saa 7 mchana.
 
R.I.P kamanda. Huyu marehemu sio mmoja wa askari wakubwa walioachishwa kazi kimizengwe halafu wakaenda mahakamani na kushinda kesi halafu wakalipwa kitita kikubwa kama damages?
 
Inna Lillah wa inna Ilayhi Rajioun...
Poleni wafiwa !! (( kweli hakuna kitakachodumu milele )) ispokuwa M/mungu pekee..
 
A
R.I.P kamanda. Huyu marehemu sio mmoja wa askari wakubwa walioachishwa kazi kimizengwe halafu wakaenda mahakamani na kushinda kesi halafu wakalipwa kitita kikubwa kama damages?
Ni mwarabu alio anzisha Rushwa katika jeshi la polisi Arusha,alikuwa akilinda waarabu wenzake wasikamatwe kipindi hicho waliokuwa wanafanya biashara za pembe na wizi wa magari.
 
Aliewahi kuwa kamanda wa police mikoa ya Arusha na Dodoma, DCP mstaafu Rashidi Hemed amefariki nyumbani kwake Oysterbay asubuhi ya leo. Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kisutu baada ya swala ya saa 7 mchana.
Pole kwa familia. Najiuliza tena, Aliwaonea wangapi kama tunayoyaona kwa wenzake sasa hivi? RIP or RIF
 
R.l.P Rashid Hemed, Baba Nasssoro! Enzi zake RPC Dodoma alikua anasaga sana gomba na kuvuta ganja eneo la Area D wajenzi
 
Hivi haya Makaburi ya Kisutu na Kinondoni hayajai tu jameni?? Kwann serikali isione hili jambo la kuzika kinondoni /kisutu mbona hapajai
 
R.l.P Rashid Hemed, Baba Nasssoro! Enzi zake RPC Dodoma alikua anasaga sana gomba na kuvuta ganja eneo la Area D wajenzi
Mkuu umenikumbusha kuhusu rafiki yangu Nasoro Hemed, classmate wangu pale Naura primary- Arusha. Nimepotezana nae kitambo sana.

Nampa pole sana kwa msiba wa baba yake.
 
Aah mie nilisoma nae sekondari Nassoro, zaidi ya miaka 20 sasa tumepotezana nae
 
Back
Top Bottom