SioR.I.P kamanda. Huyu marehemu sio mmoja wa askari wakubwa walioachishwa kazi kimizengwe halafu wakaenda mahakamani na kushinda kesi halafu wakalipwa kitita kikubwa kama damages?
Ni mwarabu alio anzisha Rushwa katika jeshi la polisi Arusha,alikuwa akilinda waarabu wenzake wasikamatwe kipindi hicho waliokuwa wanafanya biashara za pembe na wizi wa magari.R.I.P kamanda. Huyu marehemu sio mmoja wa askari wakubwa walioachishwa kazi kimizengwe halafu wakaenda mahakamani na kushinda kesi halafu wakalipwa kitita kikubwa kama damages?
Pole kwa familia. Najiuliza tena, Aliwaonea wangapi kama tunayoyaona kwa wenzake sasa hivi? RIP or RIFAliewahi kuwa kamanda wa police mikoa ya Arusha na Dodoma, DCP mstaafu Rashidi Hemed amefariki nyumbani kwake Oysterbay asubuhi ya leo. Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kisutu baada ya swala ya saa 7 mchana.
DuhA
Ni mwarabu alio anzisha Rushwa katika jeshi la polisi Arusha,alikuwa akilinda waarabu wenzake wasikamatwe kipindi hicho waliokuwa wanafanya biashara za pembe na wizi wa magari.
Hata wewe utakwenda tu.Inna Lillah wa inna Ilayhi Rajioun...
Poleni wafiwa !! (( kweli hakuna kitakachodumu milele )) ispokuwa M/mungu pekee..
Mkuu umenikumbusha kuhusu rafiki yangu Nasoro Hemed, classmate wangu pale Naura primary- Arusha. Nimepotezana nae kitambo sana.R.l.P Rashid Hemed, Baba Nasssoro! Enzi zake RPC Dodoma alikua anasaga sana gomba na kuvuta ganja eneo la Area D wajenzi
Kama alikuwa anapata Herb basi irie irie irieR.l.P Rashid Hemed, Baba Nasssoro! Enzi zake RPC Dodoma alikua anasaga sana gomba na kuvuta ganja eneo la Area D wajenzi
Mkuu umenikumbusha kuhusu rafiki yangu Nasoro Hemed, classmate wangu pale Naura primary- Arusha. Nimepotezana nae kitambo sana.
Nampa pole sana kwa msiba wa baba yake.
Ndivo ninavyo Amini..."kila chenye uhai kitaonja mauti" na kila achenye mwanzo kina mwisho!!Hata wewe utakwenda tu.
Arusha Sec?Aah mie nilisoma nae sekondari Nassoro, zaidi ya miaka 20 sasa tumepotezana nae
Haya, sawa.Ndivo ninavyo Amini..."kila chenye uhai kitaonja mauti" na kila achenye mwanzo kina mwisho!!