TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
Wana JF,

Kuna mwanachama wetu anajulikana hapa kwa ID ya Ennie ameniarifu muda si mrefu kuwa mmewe kafariki kwa ajali na leo ndo wanasafirisha mwili wa marehemu kuelekea Kilimanjaro.

Dada Ennie ametoa namba ya simu kwa wale ambao wapo tayari kumpa pole au wanaoweza kuwa watu wanamfahamu in real life (nje ya keyboard) na hata wale walio tayari kushiriki msiba (Arusha/Kilimanjaro Wing mnaweza kuiwakilisha vema JF katika msiba - cc Preta, PakaJimmy )

Anapatikana thru +255 713 458 957

Kwa niaba ya Uongozi wa JF, tunatoa pole zetu kwa dada Ennie kwa msiba huu mkubwa; Mungu ampumzishe Marehemu mahala pema.
 
R.IP Dear, Bwana ametoa then ametwaa, tushukuru kwa yote, poleni sana wafiwa
 
Pole sana dada Ennie kwa kufiwa na mumeo kwa ajali. Msiba wa ajali unastua sana, nakuombea mungu akupe nguvu ya kukabiliana na msiba huu.

Sisi sote ni wa Mwenyezimungu na kwake tutarejea
 
Wana JF,

Kuna mwanachama wetu anajulikana hapa kwa ID ya Ennie ameniarifu muda si mrefu kuwa mmewe kafariki kwa ajali na leo ndo wanasafirisha mwili wa marehemu kuelekea Kilimanjaro.

Dada Ennie ametoa namba ya simu kwa wale ambao wapo tayari kumpa pole au wanaoweza kuwa watu wanamfahamu in real life (nje ya keyboard) na hata wale walio tayari kushiriki msiba (Arusha/Kilimanjaro Wing mnaweza kuiwakilisha vema JF katika msiba - cc Preta, PakaJimmy )

Anapatikana thru +255 713 458 957

Kwa niaba ya Uongozi wa JF, tunapenda kutoa pole zetu kwa dada Ennie kwa msiba huu mkubwa; Mungu ampumzishe Marehemu mahala pema.
Too bad for her and the JF- CLAN in total!
Ngoja tuangalie utaratibu na wana Wing!
 
Dah ni majonzi sana kwa mwenzetu Ennie umeondokea na Mtu muhimu mno kwenye maisha yako..!

Jipe moyo Mshukuru Mungu kwa yote na yeye atakutangulia na kukupa nguvu...!

R.I.P mme wa Ennie!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada Ennie...mungu awe nawe akupe faraja ya kweli katika kipindi hiki kigumu.
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom