Ukabila umekumaliza hadi umebakia mifupa mitupu
😆😆😆😆Babu,bibi,baba,mama zako wakimuabudu mjumbe wa nec,hapa kazi tuView attachment 1180743
R.I.P , kwani naye alikuwa ni mmoja wa watu wasiojulikana? Maana nackia lissu alipiga dua kali sana.
Hayo yapo kwa baba yenu ibilisi na mama yenu ccmUnapigwa 0714 wewe
Na mungu wao akatutukana pia k.Na watu wa bukoba walipata tetemeko hakuonekana 'chief comforter' kule.
kama umeguswa kweli basi asanteR.I.P Maura
Kwann unaongopaMwenyekiti wa chadema mkoa wa morogoro aliyekufa kwa mlipuko wa moto wa Lori na huyo nani mkubwa wabaguzi nyie? Yule hata tangazo hamkutoa Wala kueleza kinachofuata.Wala kutoa pole kwa wafiwa
Tupo msibani, ujue !!!. Watu tuko kwenye majonzi, wewe unaibuka na hoja za ajabu.kama umeguswa kweli basi asante