Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
R.I.P. Kamanda Maura Lang.
Tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.
Poleni sana wanafamilia na chadema kwa ujumla kwa kupoteza mzalendo wa kweli
Oh poleni sana familia pamoja CHADEMA kwa ujumla.Asante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Chadema watu wabaya sana toka Dr slaa andoke, chadema awana upendo tena kwa Wa Tanzania
Poleni sana wanafamilia na chadema kwa ujumla kwa kupoteza mzalendo wa kweli
Kwani wewe ndiye huyu etwege?Mkuu acha hasira, si nae kapata ajali?
Kwa hiyo tuseme nae ni kiongozi wa wasiojulikana kakutana na mkono wa mungu?
AminaPumzika kwa amani
Mjinga ni yy aliyesababisha vifo vya ndugu zetu wengi kwa tamaa ya betriiAcha ujinga wewe
Babu,bibi,baba,mama zako wakimuabudu mjumbe wa nec,hapa kazi tuNaye alikuwa kiongozi wa wasiojulikana?
Maana siku hizi akifariki mtu utasikia bavichaa wanasema alikuwa kiongozi wa waliompiga risasi Lisu
Kwani wakitoa pole mpaka wakujulishe mkuuAsante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo