TANZIA : Chadema yapoteza kiongozi shupavu wa BAWACHA

Chadema watu wabaya sana toka Dr slaa andoke, chadema awana upendo tena kwa Wa Tanzania

Hivi kuna tathmini iliyofanyika ya wale walopoteza maisha kweye ajali ya lori la mafuta pale Msamvu kujua kama:
  1. CCM walikuwa wangap
  2. CHADEMA walikuwa wangapi.
  3. ACT Wazalendo.na
  4. CUF.?
 
Poleni sana wanafamilia na chadema kwa ujumla kwa kupoteza mzalendo wa kweli

Ni kweli huyu ndiyo Mzalando wa kweli ingawa kwa Utawala huu wa Faru John Mzalendo ni yule anayepiga na kuimba mapambio ya kumsifu Faru John tu......!
 
Mkuu acha hasira, si nae kapata ajali?

Kwa hiyo tuseme nae ni kiongozi wa wasiojulikana kakutana na mkono wa mungu?
Kwani wewe ndiye huyu etwege?
tapatalk_1564893878930.jpeg
 
Rest in Peace Kamanda Maura Lang, uliitumikia nafasi tuliyokuamini kwa uwezo wako wote. Pole kwa familia nzima.
 
Back
Top Bottom