Tanzia: Balozi Jaka Mwambi amefariki dunia leo

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
637
814
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliekaribu na familia hii ni kwamba, balozi mstaafu Captain Jaka Mwambi amefariki dunia leo
 
DAH mwisho wa mwaka pilao la sikukuu laanza kuwa chungu ....RIP


TUTAMKUMBUKA kwa

kufanikiwa kuwazima Komando Yosso mkoa wa Kipolisi Kinondoni -Dar es Salama
 
RIP Jaka Mwambi. Alishawahi kuwa mkuu wa mikoa kadhaa.
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliekaribu na familia hii ni kwamba, balozi mstaafu Captain Jaka Mwambi amefariki dunia leo
 
Pole sana Jakaya kufiwa na Room mate wako Chuoni Udsm aliefikia hatua ya kubadili Jina na kujiita Jaka kutokana na Urafiki wenu

Poleni sana Wana Familia
Ina Maana Jaka siyo jina alilopewa na Wazazi wake?

Poleni wafiwa.
 
Duhhhh...
Basi huu mwezi ukiisha, sijui wangapi watakuwa wameng'ata shuka..!!??
Apumzike kwa amani Jaka
 
Pole sana Jakaya kufiwa na Room mate wako Chuoni Udsm aliefikia hatua ya kubadili Jina na kujiita Jaka kutokana na Urafiki wenu

Poleni sana Wana Familia
Ndio hivyo tena nyama ya udongo
 
Nikiwa kanisani,tukisherekea uwepo wa Baba Askofu Ruwaichi,nikapewa taarifa kwamba Baba mlezi wa Jumuiya yetu kafariki dunia.

Ni kweli yapata week hivi ulikua unaumwa Mzee Jaka... Kijana wako nakulilia sana,machozi yangali yanamwagika kutoka kwenye macho yangu.

Mzee Jaka,umeondoka ungali bado Jumuiya yetu tunakuhitaji,hasa kwenye masuala ya ushauri wa vijana,linapokuja suala lakuoa,ulikua unauliza maswali mazuri sana kwa vijana.

Poleni sana familia ya Jaka Mwambi,pole sana Mzee Jakaya Kikwete,moja ya rafiki yako kipenzi katangulia mbele ya haki... Pumzika kwa Amani Mzee Jaka.
 
Huyu alipata kuwa balozi wa Tanzania nchini Russia? Kama ndie huyu watoto wake wako very simple hawana majivuni ya ajabu...

Apumzike kwa Amani...
 
Back
Top Bottom