TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

AISEE HALI NI TETE TUNAKWISHA JAPO WANASEMA HIVI VIFO SIO VYA CORONA ILA KWA NINI IWE WAKATI HUU WA CORONA NDO VIFO VINAZIDI?!
Acha waendelee kudanganya hivyo ila vitakapofika kwa wasemao hivyo ndipo watakiri kwamba ni vya Corona.

Ngoja waendelee kupuuza ushauri wote mzuri uliotolewa na Wanasiasa Wa Upinzani, huku Mungu akiwapa tough lesson.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom