TANZIA: Balozi Ally Abdallah Saleh Rashid afariki dunia

BALOZ.jpg
)
Balozi mdogo wa Oman, zanzibar(Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi amefariki dunia leo asubuhi, mwili wake unasafirishwa leo mchana kwenda oman kwa ajiri ya taratibu zengine za mazishi,

BALOZ.jpg
Kushoto Balozi Mdogo wa Oman, Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi
Chanzo- ITV breaking news
 
Amefariki huko visiwani Zanzibar kutokana na shinikizo la damu.

Balozi mdogo wa Oman huko Zanzibar, Ali Abdallah Al- Rashid amefariki dunia leo katika hospitali ya Global. Mwili wake kusafirishwa kupelekwa Muscat Oman kwa mazishi leo.

Mwenyezi Mungu ampumzishe Mahala Pema.
Inalilah waina-ilaihu rajiuuun. Jina lake ni Ali Abdulla na Al-Rashid ni kabila lake(au jina la ukoo)
 
Anazikiwa Muscat

Kama ni moja ya Wana ccm waliosigina ushindi wa MAALIM SEIF basi na afe tu
 
RIP Balozi.
Kwani imani inaruhusu kusafirisha mwili umbali huo, tuelimishane!
 
Back
Top Bottom