TANZIA: Baba mzazi wa Balozi Dk Wilbroad Slaa, Mzee Peter Qamara Tluway (98) afariki dunia

Pole sana jirani yangu..r.i.p mzee
Tusubiri tuone kama chadema watatoa tamko la pole.
 
Msiba ni tukio lisilozoeleka,ila mtu anapo pumzishwa akiwa na AGE hiyo moyoni mwangu najiskiaga ka amani flani kusema la ukweli japo msiba ni msiba.

Pumzika babu.
 
Pole familia,ila huu msiba ni sherehe fulani. Babu,98, alishapoteza kumbukumbu, madaktari walishauri familia atunzwe nyumbani. Alimshauri sana Dr Slaa aachane na siasa za kiharakati. Babu atakuwa amepumzika kwa amani baada ya hitaji lake kwa mwanae kipenzi kutimia
 
Back
Top Bottom