Mwenyezi Mungu atunusuruCoronavirus haichagui, sasaivi tunapumuliana virus tuu hapa mjini
Stay safe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyezi Mungu atunusuruCoronavirus haichagui, sasaivi tunapumuliana virus tuu hapa mjini
Amina
Ukiona mfu analetwa hapa bila taarifa ya ziada wakati kuna wengi tu wanaokufa na hawaletwi...ujue kuna mamboAmefariki na ile kitu au kifo cha kawaida?
Aisee!Punda endeleeni kuchapa kazi mlipe kodi binadamu kule walipiwe mahitaji yao
Kazikwa tarehe ngapi mkuu?Kuna watu wanajaribu kuzua taharuki kwa dhamira ovu,huyu mtu amezikwa hivi karibuni huku simiyu sasa lengo la kuleta taarifa ambayo mhusika alishafanyiwa matanga lengo lake ni nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambao wengi ni masikini.....Kuchanganya siasa na afya ni sumu ambayo imechukua uhai wa marehemu
Sema kila kitu corona.... Sio siasaYaani nyie watu kila jambo ni siasa tu. Chadema mnafeli sana.
Sema kila kitu corona.... Sio siasaYaani nyie watu kila jambo ni siasa tu. Chadema mnafeli sana.
umesema nini? au mimi ndiye ambaye macho yangu hayaoni vizuri?
Tunafeli kuongozwa na kilaza wa burigiYaani nyie watu kila jambo ni siasa tu. Chadema mnafeli sana.