Tanzia: Aramu Kaigwe, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi jimbo la Kasulu Vijijini, auawa kwa kukatwa mapanga

Tanzia: Aramu Kaigwe, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi jimbo la Kasulu Vijijini, auawa kwa kukatwa mapanga

Mwkiti wa Chama NCCR-Mageuzi Nyarugusu, Jimbo la Kasulu Vijijini Ndugu Aramu Kaigwe, ameuawa kwa kukatwa katwa na Mapanga hadi mauti yake. Tukio hilo limefanywa na Watu wasiojulikana!

Ni Imani yetu sote hawa watu wasiojulikana, uchunguzi wa Police utawapata.

Poleni sana wafiwa wote hasa familia yake waliokuwa wakimtegemea kimaisha na Ndugu zake wote.

Poleni sana majirani wake na wana kasulu wote. ARAMU KAIGWE alikuwa mwenyekiti wa tawi la Nyalugusu Kata ya heru bushingo, amepigwa mapanga mpaka kifo.

NCCR-Mageuzi itamkumbuka kwa kazi kubwa aliyoifanya kujenga chama.

Roho ya Marehemu ipumzike kwa amani. Amen
 
Lini tena jamani?!Kuna wajinga wanapandikiza ubaguzi ,na baadhi wanatekeleza hayo wajuavyo,mnatupeleka wapi?!Angalizo tusichukilie poa kifo cha binadamu mwenzetu!!!!
 
Back
Top Bottom