ha haha hahha,mwangu hilo jina lako noma,MKOJOZAJI?Huyu mzee wetu kasingiziwa sana kifo. Nitasubiri taarifa rasmi. Ugua pole mzee Majuto.
Hahahaaaaaha haha hahha,mwangu hilo jina lako noma,MKOJOZAJI?
Ahsante sana. Mungu Wa Africa amuweke kwenye miti mizuri.Ugonjwa wa Mungu kama magonjwa mengine...RIP King Majuto!