PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,522
- 13,107
Pole kwa wafiwa.
Nini kimepelekea mauti yake???
Nini kimepelekea mauti yake???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1204614
Habari zilizotufikia sasa hivi ni kuwa Dr Omary Nundu ametangulia mbele za haki
Huko nje hawafi?Inawezekana kweli kulikuwa upigaji hela za matibabu ya nje lakini si vizuri kusema Watanzania wote watatibiwa hapa hapa. Hili wimbi la viongozi au wake wa viongozi kufariki mikononi mwa madaktari wetu limekuwa kubwa.
Hivi kweli huyu Dr Harrison Mwakyembe na Prof Mwandosya wangekuwa wameugua kipindi hiki cha Meko wangepona na kurejea kwwnye afya walizonazo leo kwa huduma za MNH? Last month mke wa AG Killangi alikufa pia.
Ikibidi kiongozi aende nje kwa matibabu nashauri aende tu, ila kama kuna mtu anataka kupiga hela, adhibitiwe mbona mifumo ipo.
Kwa hiyo tukusaidiaje na stress zako za kushindwa kila jambo unalolishupalia?Duniani tunapita tu!!
Loo, haya nayo makubwa.Habari zilizotufikia sasa hivi ni kuwa Dr Omary Nundu ametangulia mbele za haki
Ni kweli kabisa tunapita,ila wale wanaojifanyaga sana kuwadhulumu na kuwatesa wenzao kwahilo basi wakumbuke kuwa hapa duniani tunapita,maamuzi wanayopewa na viongozi wao hayatawasaidia siku ya kufa na katika kaburi utakalolazwa,Jamani tuishini kwa adabu na heshima katika hii duniaDuniani tunapita tu!!
Unamjibiaje MTU bana ,anachangiaje kitu hakijuinadhani alikuwa mwenyekiti wa bodi ttcl kama sijakosea
Akili za Bavicha mmmmmmh. Kuna possibility ukafa wewe au mtu wako wa karibu na Huyo Ndugai ukamwacha hai.Siasa za KIPUMBAVU zisikutoe ufahamu.
Just thinking aloud, sawa wanakufaHuko nje hawafi?