TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa Chama Soka Zanzibar (ZFA), Ali Fereji Tamim afariki dunia

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Aliyewahi kuwa rais wa chama soka Zanzibar (ZFA) Ali Fereji Tamim amefariki dunia visiwani Zanzibar na maziko yanatarajiwa kufanyika leo alasiri visiwani humo.

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa famili, ndugu, jamaa, marafiki na ZFA kufuatia msiba huo.

Katika salamu hizo za rambirambi Rais Karia amemuelezea marehemu Tamim kuwa kama mmoja wa wanamichezo waliotoa mchango mkubwa katika mpira wa miguu hususani visiwani Zanzibar.
FB_IMG_1558266012102.jpeg
 
Apumzike kwa amani mzee wetu Ali Fereji Tamim..Tutakukumbuka.!
 
Back
Top Bottom