Tanzia: Aliyewahi kuwa M/kiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha Afariki Dunia

TUNDE

Senior Member
Apr 23, 2016
129
77
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha Bwana Abrahamu Nyanda aliyemaliza muda wake hivi karibuni amefariki jana akiwa kwenye matibabu Hospitali ya Rufaa Muhimbili.

Marehemu Nyanda alitumika katika nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo tangu Aprili 2009 mpaka Desemba 2015 alipomaliza muda wake
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha Bwana Abrahamu Nyanda aliyemaliza muda wake hivi karibuni amefariki jana akiwa kwenye matibabu Hospitali ya Rufaa Muhimbili.

Mwenyekiti huyu alitumika katika nafasi hiyo tangu Aprili 2009 mpaka Desemba 2015

R.I.P mwalimu wangu wa Engineering Science Mazengo mwaka 1986.
 
Daah...miaka inaenda sana.Mi nilimaliza T.C.A mwaka 2003,lakini fikra zinanirudisha kama jana vile.
PUMZIKA KWA AMANI MWALIMU,NA MUNGU AIPE SUBIRA FAMILIA YAKO.
 
Back
Top Bottom