Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,060
- 23,941
Poleni mkuu. Ingependeza ukatujuza marehem alikuwa ni nani na ilikuwaje hadi kafikwa na umauti.
Mwenyeezi mungu amlaze panapomstahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Ali Haji Pandu, aliyekuwa Jaji Mkuu wa kwanza wa #Zanzibar 1970~78 baada ya Mapinduzi na baadaye Waziri amefariki dunia alfajiri ya leo.
Inna Lillaahi wa Inna Ilayhi Rajiu'n.