TANZIA: Aliyekuwa mwandishi wa Radio One, Charles Ngereza afariki dunia!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
#TANZIA:Aliyekuwa Mwandishi wa habari wa redio one, itv, Idhaa ya kiswahili ya Dw na Makamu Mwenyekiti wa Arusha Press Club, Charles Ngereza amefariki leo asubuhi Machi 23, 2019 katika hospitali ya Mtakatifu Elizabeth Jijini Arusha.

Msiba uko nyumbani kwake, eneo la Kwa Mrefu na taratibu za mazishi zitatangazwa baadaye.

Uongozi wa Radio 5 tunatoa pole kwa Familia na watu wote walioguswa na Msiba huu.

FB_IMG_1553332546109.jpeg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
View attachment 1051926

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hivi radio 5 bado IPO tu mbona huku mikoani haipatikani?. RIP Charles Ngereza
 
Back
Top Bottom