Tanzia: Aliepata kuwa waziri mkuu na Rais wa Israel, Shimon Peres afariki dunia

hii picha na arafat ya kweli hii?
38DD6D0500000578-3810939-image-a-65_1475032460479.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mwisho wa maji ni tope kama ulikuwa mwema kwa walimwengu utayakuta huko na kama ulikuwa kama hao waliopo sasa uyakuta huko maana hakuna nobel wala di baloon
 
Ukweli ni kwamba yeye mwenyewe ndio anajua anapokwenda
Mwenyezimungu anatisha wengi walikua jeuri leo hata kutajwa hawatajwi
Asante mungu
 
Wanadhaniaga wataishi milele
Yap, na ndio maana wamevuka mengi na kufanya mengi mazuri. Ila hawa viongozi wenu wa Africa wanao his watakufa kesho huishia kushibisha matumbo yaona kuuza resource za nchi bila kujali vizazi vijavyo.
R.I.P Perez, ulilifanyia mengi taifa lako na utakumbukwa kwa hilo.
 
Back
Top Bottom