TANZIA: Abdalah Esoore Wasiiza is nomore

mwenezi

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
506
108
Ulitoa maisha maisha yako namali zako kutetea haki zawenzako. Tofauti na watu wengine ambao wakipata uwezi wakiuchumi wanajitenga na siasa za upinzani kwa hofu yakufirisiwa,wewe ulijipambanua.

Tabia yako ndiyo iliyofanya cdm musoma wakakufanya kuwa mwakilishi wao katika chumba cha majumuisho yakura 2010,ambapo waliibuka na ushindi wakura zote(rais mbunge na madiwani). Mpaka mauti yako, ulikuwa mjumbe wakamati tendaji ya cdm musoma,kama mwendelezo wa ujasiri na uzarendo wako.cdm will miss you4ever.

RIP ABDALAH ESOORE WASIIZA.
 
Rest in peace Kamanda, mche uliouotesha utaendelea kukua na kustawi kama ulivyokuwa umepanga na ukombozi wa kweli utapatikana muda si mrefu
 
Back
Top Bottom