Tanzania's Threat Over Ivory Ill Advised | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania's Threat Over Ivory Ill Advised

Discussion in 'International Forum' started by Smatta, Apr 20, 2010.

 1. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Tanzania is furious with Kenya because of the position we took on trade in ivory at the recent wildlife meeting in Doha, Qatar.
  Kenya led opposition to Tanzania's bid to be allowed to sell its stockpile of ivory, and is now being accused of bad neighbourliness.
  Tanzania's Minister for Natural Resources and Tourism Shamsa Mwangunga has warned Kenya, which stopped the country's bid to sell off its ivory, not to expect Tanzania's support on issues related to the UN Convention on International Trade in Endangered Species, Cites.
  Kenya needs not be apologetic about its stand. As much as neighbouring countries are expected to maintain cordial relations, common practice in international relations is that a country identifies its national interest and pursues it selfishly.
  This pursuit of national interest often leads to disagreements with neighbours. There are incidents when Tanzania has been uncooperative and remained aloof on matters of the East African Community it felt might not serve its interests. Their refusal to allow free access to land, movement of residents and the use of IDs as travel documents are examples.
  Thus our neighbours to the South should avoid making veiled threats because of the position Kenya took on ivory trade. After all we have more issues we agree on than those on which we disagree.


  http://multimedia.marsgroupkenya.org/?StoryID=287266
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  hey smatta...huoni kama unazidi kututia KICHEFUCHEFU kwa kuongelea UPUUZI mliotufanyia huko nje ya EAST AFRICA na kuulinganisha na HAKI YETU YA MSINGI ya kukataa ardhi yetu kuwa ya jumuiya kama ambavyo nyie mmekataa PESA YENU isiwe ya jumuiya na kama ambavy UGANDA wanaweza kukataa PETROL YAO isiwe ya jumuiya.

  sie kuuza pembe za ndovu zinazoozea stoo kwetu KUNA MADHARA GANI KWENU NYIE KENYA??...so MULIAMUA KUTUADHIBU HUKO NJE YA EAST AFRICA KWAKUWA "tulikataa kugawa ardhi yetu na kuwaruhusu kuingia kwetu kwa vipande"???

  Ona sasa..tunataka kuwarudisheni kwenu na ardhi yetu muiache kisha tuone ni jinsi gani mtaingia tanzania kupata ardhi na kazi za kufanya...MPAKA MTAKAPO JIFUNZA KUHESHIMU MAJIRANI ZENU NA KUWA WANA-ADAMU JAPO KIDOGO.
   
 3. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  smatta kama mwakilishi wa majirani zetu wa KASKAZINI...haya maeneo niliyoya kandamizia mwandiko mzito yananitia shaka na hofu kubwa kuhusu ninyi wenzetu...
  So mulienda doha kutuadhibu kwa kuwa tumekataa ardhi yetu isiwe ya nuungano au tumekataa musiingie kwetu kihuni na vipande???...kwanini hamkuyasema haya yote kuwa mtatukatalia kuuza pembe ZETU kabla hatujaenda kuuza??...hivi mnaamini kweli mnatakiwa kuungana na sie WENYE USTAARABU WETU na nyie kwa USTAARABU WENU HUO WA KUTULIPIZIA VISASI KWA KUWA TUU HATUTAKI HAKI YETU YA MSINGI IHUJUMIWE?..

  Sasa HAMUONI KAMA MUNATUTIA VICHEFUCHEFU na soon TUTAWATAPIKA AU HATA kuwaharaa...maana mmekuwa wa AJABU SANA KUITWA wana-adamu...

  Poleni sana wakenya maana munahitaji muda mrefu kufikia ustaarabu wetu...na naamini kuwa HATUHITAJI JUMUIYA YA WATU KAMA NYIE...ndio maana ile ya kwanza muliiuwa hii ya pili KULIKO IANZE KWA STYLE YENU HII TUTAIUA SIE WATANZANIA....mutaungana na somallia na sudani naona ndio mnaendana vizuri

  ni maoni tuu
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Apr 20, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Smatta,

  Do you think what Kenyans did in Doha will alter our stance on any matter concerning our national intersts?what did Kenya gain from opposing our Bid in Doha?

  Think twice before you post such kind of craps on internet bro. Wewe na wakenya wenzako mnanichekesha sana ,naona hata Ambassador wenu HE ambassador Mutiso anageuka kituko huku Tanzania.Yaani akiongea ni kama vile anajadili ishu ya ukamba na ukikuyu,you sucks!
   
 6. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2010
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Smatta,
  Try to quote other people's work unambiguously.
  If someone reads your post at the first time, it is not clear if you sourced it from multimedia, a word SOURCE… Could have made your article much clearly. Many readers here think you are the author of the article.
  Njimba.
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Huyu Smatta namshangaa, kuna blogs nyingi huku zinazo zungumzia mambo ya Kenya. Kwanini asijiunge nazo na kutuachia hii yetu WaTz tutanue kivyetu? Kila akija ni udaku na uchokozi tu. Kuna Ushahidi nadhani angejiunga ili aungane na wakenya wenzie ili watafakari na kushauriana namna ya kuondoa chuki zao za ukabila. Buddy, we don't feel like having a stranger in our forum!
   
 8. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Son, I am an active member of many African forums, JF being one of them, and just to let you know, this forum is so hostile to foreigners who are not afraid to call it as it is, and for some reason I have managed to stick around though many of the Kenyan members who I had found here have either quit (because of fruits like you) or have been banned for reasons that don't add up . I dont think this here forum is exclusive to Tanzanians, coz if it were, I wouldn't bother answering your hogwash because I wouldn't be here in the first place. I didn't join JF by accident, I have a lot of interest in your country and thats the main reason I have stuck around for so long. This fruit has joined this forum yesterday and now he thinks he can tell Smatta to go eff himself, try again, and the next time you post something leave my name out of your mouth coz it aint a ... you know what.
   
 9. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Tuwasamehe Bure, Ila Tanzania Land Is For Tanzanians. Hakuna kugeuka We will drive you away by any means. We know you are already here many of you thugs pretend to be Tanzanians but your time is coming.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sijaona hapo content inayoelezea with good reasons, ill advised in want sense..Ok ni kweli wakenya wana haki ya kutolea decision mambo kadiri wanavoona wao inawasaidia SELFISHLY, kaa ilivo hulka yao..Tatizo sisi ni naivette inatusumbua kila kona.

  Ukweli ni kwamba suala la kuuza hizo pembe za ndovu, kuna mambo mengi yamejificha na sisi waTz wa kawaidia kukimbilia tu kuisupport serikali yetu blindly can be tragic and dangerous.

  Pili kwa watu wengi kudhania kuwa Kenyans give shyt about the wellfare of our beloved Bongoland, is another facet of the same naivette. Ndio naivette hiihii inayokuja mlangoni sasa hivi kutu-haunt ktk mambo ya EAC.

  Kwa kifupi kila jambo lilitakiwa kupimwa kwa kina tangia mwanzo badala ya kuplay majuto mjukuu na kutoa visingizio vya kijinga.
   
 11. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "EAST COAST AFRICAN COMMUNITY" Itakuwa suluhisho la nchi zenye mlengo wa matatizo yanyofanana,nchi hizi ni KENYA,SUDAN,ETHIOPIA AND SOMALIA.
  LET US ENCOURAGE THESE COUNTRIES TO JOIN TOGETHER AS A COMMUNITY,(ECAC)
  "EAST AFRCAN COMMUNITY" The people of peace and Liberty should join the countries like TANZANIA,UGANDA RWANDA BURUNDI AND ZAMBIA PROBABLY IF THEY WANT.
  These are my personal views.
   
 12. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  and it will always remain that, your personal view.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Dude whats ur problem? Kwani hii thread sio personal view? Tz ni ya waTZ, start swallowing that, the sooner the better.
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Sep 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Na nyingine hii.. there is no perfect crime
   
 15. J

  JUANITA Member

  #15
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nisaidieni: mada ya hapa ni nini? U-Kenya?, U-Tanzania?, Ujirani (mwema/mbaya)?, Jumuia? Meno/Pembe ya/za Ndovu? Mawazo binafsi?

  Smatta ka-boil, na ukibishana na mjinga, nani atamtambua mwerevu?

  Kama tunakubaliana na maoni binafsi, THEN IT IS MY PERSONAL VIEW THAT THERE IS NO WORTHY VIEW FOR DISCUSSION HERE AND NOW, tuanze kujadiliana yatakayotujenga huko tuendako, with or without neighbours!

  My father had told told me, 'You can choose your friends from all over the world, but it is the world who chooses your neighbours; so if you can neither bear with them nor join them, make them shift or look for another place yourself!'

  Good day!
   
 16. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Smatta ka-boil, what the eff does that mean son?
   
Loading...